[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] umewaona mkuu?halafu mademu wa mtandaoni wengi wabaya,picha mpaka ikaende hewani imepitia photoeditors kama nane,
na wanaume wengi wanao comment sana kwenye picha za mademu wengi ni madomo zege fanya research
appreciate broMkuu pure math, hao ni wanawake wa 20-24 baada ya hapo soko hufa na kubaki kupost namtegemea Mungu wewe fanya research kidogo utaona
akikujibu ni tagMkuuu wee face book unatumia jina gani!!
We fungua account na mwanamke nae afungue... we kwa mwaka unafriends 500 ye kwa mwez 1000