Post yangu ya 600,nampa pole T.I.D!!

Post yangu ya 600,nampa pole T.I.D!!

mchajikobe

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2009
Posts
2,661
Reaction score
1,267
Nipo salama sana wana JF,katika post hii leo naona niitumie kwa kumpa pole yule mzee wa zeze(Top in Dar)kwa bomoa bomoa iliyomkumba na kumsababishia kuipoteza studio yake ya top band na uzio wa nyumba ambao ulijengwa kwa staili za falme za kiarabu,pole sana kwa hasara uliyoipata Mungu atakurejeshea!!
 
Kama alijenga sehemu ambayo haistahiki, ni lazima sheria zifuate mkondo wake bana...

Huyu Mungu sasa atarejesha hadi visivyostahili!
By the way..POLE!
 
alijenga bila kufata taratibu?

pole sana top in jela.
 
burian tpband studio
pole sana tid naona ukuwahi kusoma nyakati
viwnanja vingine tunajenga sehemu sio stahili
ni sheria tu imefwata mkondo wake usiwakasirikie watu
kila la kheri ukipata nyingine tujulishe
 
Hongera sana Mchajikobe kwa kugonga nyundo 600.
Pole T.I.D kwa kujenga bila kufuata utaratibu.
 
Kama alijenga sehemu ambayo haistahiki, ni lazima sheria zifuate mkondo wake bana...

Huyu Mungu sasa atarejesha hadi visivyostahili!
By the way..POLE!
Ce nes pas possible!!
 
alijenga wapi?
aliwekewa x kabla ya kuvunja au walau notice?
alikuwa na mgogoro wowote?

au ndo jinamizi la kuvunja sheria bado limemganda kaka huyu?
 
Duh hii sijasikia, pole kamanda! Wamevunja na vifaa ndani?
 
ni vizuri pia tukajua hiyo studio iko wapi mazee....
 
Back
Top Bottom