Ziltan JF-Expert Member Joined Aug 20, 2011 Posts 2,672 Reaction score 6,880 Jan 6, 2012 #1 Nasikia wametangaza, mwenye taarifa zaidi tafadhali!
batadume Senior Member Joined Mar 4, 2011 Posts 101 Reaction score 7 Jan 6, 2012 #2 umesikia wapi mbona cc hatuja sikia?????????????????????
Mkondakaiye JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 838 Reaction score 174 Jan 6, 2012 #3 sijasikia kitu hicho na nimeangalia mtandao wa MOE hawajaweka chochote.
H henry mramba Member Joined Jan 4, 2012 Posts 5 Reaction score 0 Jan 7, 2012 #5 serikal yetu haina mpangilio mzuri wa ajira za walimu kwani mara kwa mara wamekua wakidai kuwa wataajiri walimu lakin inashangaza hawatangazi hata ajira zenyewe
serikal yetu haina mpangilio mzuri wa ajira za walimu kwani mara kwa mara wamekua wakidai kuwa wataajiri walimu lakin inashangaza hawatangazi hata ajira zenyewe
Munru JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 1,340 Reaction score 666 Jan 7, 2012 #6 sijui nilie, endeleeni kungoja, sisi ngoja tuendelee kutafuta kwingine
saidi mwenegoha Member Joined Jun 18, 2012 Posts 5 Reaction score 0 Jun 19, 2012 #7 Ualimu sasa c wito