Post za bot za note counter positions

Joined
Oct 12, 2010
Posts
70
Reaction score
7
Naomba kujuzwa zile note counters 17posts bank of tanzania (bot) wameshaita au bado
 
Kwani siku hizi hizo post kina kayumba nao wanazipata?
 
zile post zilikuwa kwa ajili ya wanawake so mazee msije mkawa mnazisikilizia..........
 
Wadau! Tayari walishaitwa kwenye usaili wa awamu ya kwanza i.e written interview tayari, pengine watakaofanikiwa kwenye hiyo ya kwanza ndo wataitwa oral! Kama haukuitwa jaribu tena zikitangazwa.......wiki imeisha toka walivyoitwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…