Post za Form 5

Post za Form 5

Amoury94

Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
89
Reaction score
37
Habari zenu wana jf eti post za kidato cha tano mwaka 2012 zinatoka lini
 
Mulugo anayo majibu matamu kwa ajili yako!
 
jiandae ndogo kama kweli umepata credit za kujiunga na kidato cha 5
 
yatachelewa kutoka kutokana na muhula wa masomo kwa kidato cha tano mwaka huu kusogezwa mbele.
 
Any time this year.
Keep your eyes open
 
Mulogo yuko busy na siasa.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom