A Amoury94 Member Joined Mar 14, 2013 Posts 89 Reaction score 37 Apr 8, 2013 #1 Habari zenu wana jf eti post za kidato cha tano mwaka 2012 zinatoka lini
Twilumba JF-Expert Member Joined Dec 5, 2010 Posts 12,576 Reaction score 14,522 Apr 8, 2013 #2 Mulugo anayo majibu matamu kwa ajili yako!
S sabai Member Joined Dec 17, 2012 Posts 69 Reaction score 7 Apr 8, 2013 #3 jiandae ndogo kama kweli umepata credit za kujiunga na kidato cha 5
wamogori JF-Expert Member Joined Mar 20, 2013 Posts 888 Reaction score 339 Apr 8, 2013 #4 yatachelewa kutoka kutokana na muhula wa masomo kwa kidato cha tano mwaka huu kusogezwa mbele.
mapunda b JF-Expert Member Joined Feb 8, 2013 Posts 418 Reaction score 19 Apr 15, 2013 #5 wamogori said: yatachelewa kutoka kutokana na muhula wa masomo kwa kidato cha tano mwaka huu kusogezwa mbele. Click to expand... jaman mweny kulijua ili atusaidie tafadhari
wamogori said: yatachelewa kutoka kutokana na muhula wa masomo kwa kidato cha tano mwaka huu kusogezwa mbele. Click to expand... jaman mweny kulijua ili atusaidie tafadhari
Sigma JF-Expert Member Joined Feb 26, 2011 Posts 5,006 Reaction score 1,255 Apr 15, 2013 #6 Any time this year. Keep your eyes open
Brodre JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 2,585 Reaction score 1,771 Apr 15, 2013 #7 muwe mnaanza na shikamoo
J Johnsonu Senior Member Joined Mar 19, 2013 Posts 165 Reaction score 53 Apr 15, 2013 #8 Ni mwezi may.Source;Wadau wa elimu.
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,197 Reaction score 128,160 Apr 15, 2013 #9 Mulogo yuko busy na siasa. Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums