Post za form five 2013

Juzi ndo maheadmaster walienda kufanya selection naskia ilifanyikia pale Arusha technical college [A.T.C] ni kusubiri tu wakubwa
 
yani hatari sana,nimeOna post ambayo anaulizia kuhusu kitu hicho hicho am bacho anamjibu mwenzake

co kwamba naulza,n kwamba naona huruma xana kwa familia dun za ktz mpka sasa hawajajua mwanao au wanao wanaenda wap ,and hzo news n tetesi tu,co kwmb n za uhakika100%,bt kitetes ina 100%,lets wait j3 kama n kwel au laah!
 
work in your writings hueleweki mbona waharibu lugha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…