Post za kidato cha tano kwa mwaka wa masomo 2014/2015

Post za kidato cha tano kwa mwaka wa masomo 2014/2015

usijali zinatoka hivi punde tu!
 
hawawezi wakatoa post kwa sasa wakati wengine wamepata dv1,2 and 3 na wanataka kwenda uwalimu,kwanza wapangiwe vyuo watakao kwenda kusomea uwalimu kisha watatoa post zote za vyuo na za advance

msiwe na haraka hii ndio TZ bana
 
Wewe ndo unawapeleka chuo?
Fikiri kabla ya kuandika kitu usicho nacho taarifa/uhakika!
 
Kuanzia kesho mpaka ijumaa zitakua tayari.

Sent from my BlackBerry using JamiiForums
 
nimesubiri nimechoka.ngoja kwanza kombe la dunia liishe ata wakisema mpaka wa tisa poa tyu.😛🙄
 
Back
Top Bottom