Post za kidato cha tano

wizykey

Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
11
Reaction score
0
Naombeni kujuzwa, eti post za kidato cha tano zinatoka lini?
 
Nenda private skuli acha kushinda fesubuku.
 
mbona wenye division iv ya points 26 mnachaguliwa form V mwaka huu... huna habari hiyo... subiri uone as far una C mbili na D za kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…