Post za kidato cha tano.

Sasa wewe huoni mwenzako kaweka uzi kama huu.inaulazima gani wakuanzisha hii
 
una presha kijana..tuliza mzuka.. znatoka hiiv sssooonnn!!
 
dah life la kitaa limetu chosha wangefanya kuzitoa tu ili tuanze kujipanga
 
kama umepata alama za kukupeleka kidato cha tano mhemuko wa nini sasa?
 
mi mwenyewe nimechoka kila ninaemuuliza hajui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…