Janeth Simba
New Member
- Jun 29, 2013
- 3
- 0
Nimesikia Ya Kwamba Post Za Kwenda Kidato Cha Tano Zimetolewa Leo July 1 2013 Je Ni Kweli Wana Jf?
Chanzo: http://www.tanzania.go.tz/matokeo03.htm
Chanzo: http://www.tanzania.go.tz/matokeo03.htm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesikia Ya Kwamba Post Za Kwenda Kidato Cha Tano Zimetolewa Leo July 1 2013 Je Ni Kweli Wana Jf?
Kuna mtu kaniambia ni google matokeo03.htm sasa nimebaki nashangaa kuna baadhi ya wanafunzi wamepangiwa shule
Kuna mtu kaniambia ni google matokeo03.htm sasa nimebaki nashangaa kuna baadhi ya wanafunzi wamepangiwa shule
next time post kama hii weka kwene wall yako ya facebook na ka group ka maclassmate wako mjadiliane na jinsi mlivonasuliwa kwa kuongezewa alama
Nimesikia Ya Kwamba Post Za Kwenda Kidato Cha Tano Zimetolewa Leo July 1 2013 Je Ni Kweli Wana Jf?
Nahsi kama ni ya uongo embu angalieni http://www.tanzania.go.tz/matokeo03.htm jamani siyanawekwaga hapaa au United Republic Of Tanzania - Ministry of Education and Vocational Training
inaoneka umeangalia post hujasoma kilichoandikwa..
haya ndio matatizo ya ku-"sikia yakwamba"
samahani kidogo najua umehitimu kidato cha nne jaribu kutumia elimu yako kulinganisha kichwa cha habar na habari yenyewe
mmm,mbona mi nimecheki,www.necta.go.tz lakini sijaona kitu?.Mi nahisi ni uongo.