Post Za Kwenda Kidato Cha Tano Zimetolewa Leo

Kweli lkn ulivyo andika kwamba "post za kwenda form five zimetoka leo" yani umeandika kama vile ushapata uhakika,then unakuja tena kutuuliza kama swali, vipi bhana hatukuelewe
 
Nimesikia Ya Kwamba Post Za Kwenda Kidato Cha Tano Zimetolewa Leo July 1 2013 Je Ni Kweli Wana Jf?

next time post kama hii weka kwene wall yako ya facebook na ka group ka maclassmate wako mjadiliane na jinsi mlivonasuliwa kwa kuongezewa alama
 
Kuna mtu kaniambia ni google matokeo03.htm sasa nimebaki nashangaa kuna baadhi ya wanafunzi wamepangiwa shule
 
Kuna mtu kaniambia ni google matokeo03.htm sasa nimebaki nashangaa kuna baadhi ya wanafunzi wamepangiwa shule

embu weka hiyo link tuone kama kweli au umeona ya mwaka jana..
 
next time post kama hii weka kwene wall yako ya facebook na ka group ka maclassmate wako mjadiliane na jinsi mlivonasuliwa kwa kuongezewa alama

inaoneka umeangalia post hujasoma kilichoandikwa..
 
haya ndio matatizo ya ku-"sikia yakwamba"
 
samahani kidogo najua umehitimu kidato cha nne jaribu kutumia elimu yako kulinganisha kichwa cha habar na habari yenyewe

Angeongeza ? kwenye post yake ingetosha. Ila nadhani si kosa lake bali ni la ''Kiwambwa'' pengine bila ile 'standardization' asingepona? Ndio maana ana mzuka hivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…