Post za ualimu ngazi ya cheti na stashahada moevt yaleta ujuha na umwinyi

SOCIETY'S FOCUS

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
498
Reaction score
685
Kwa nini orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya ualimu rekebishi kwa mwaka wa masomo 2014/2015 itoke monduli tc tu, na kuacha vijana wetu wakipigwa vumbi kitaa "huu ni umwinyi wa LOWASA".
Washaleta chenga vijana tufight mambo mengine otherwise tutauza bajia....!
 
Kumbe na ualimu dili siku hizi? si huwa mnaudharau nyie? sasa mnalalamika nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…