Post za walimu zatangazwa.

:llama::llama:CHAMSINGI VUTENI SUBILA WADAU ILIMRADI MLISHAJUA TAREHE YA KUANZA KUIPOKEA MIELA YENU.
 
Ndio Waziri mwenye zamana ametangaza lkn nahisi kuna uhonevu huu
  1. watapata hela za kujikimu za siku 7 badala ya siku 14
  2. Hawatalipiwa gharama za mizigo eti kwa sababu wao ni fresh from school kwa hiyo hawana mizigo na hawawezi kupewa furniture wala vitu vingine toka kwa wazazi/walezi wao licha standing order kuruhusu first appointment kulipwa hela za kusafilisha mizigo kwa kuzingatia kilomita na level ya mshahara
 
Kafanyeni kazi sasa acheni mbwembwe mjini.
 
Naona website zote za wizara za serikali zina kwikwi, kama kuna aliyefanikiwa ku-dowload atuwekee hapa jamvini.
 
jamani, huwa anaanza waziri kusema ndo zinatoka so hope by tommorow morning zitakuwa kwa website ya moevt, na web inafunguka ,....kip on waitning

kawaida baada ya kuongea na waandsh 2 ndo yanakuwa internet
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…