Post za walimu

Post za walimu

benimvile

New Member
Joined
Feb 14, 2013
Posts
4
Reaction score
1
Jamani, mm ni mwl wa shahada (BSc Ed). Nimepangiwa Dodoma mjini, Bihawana secondary. Natafuta mtu wa kubadilishana ili mm niende Mbeya. Tuwasiliane kupitia 0764860999
 
kafanye kazi acha mbwebwe si ulitaka mbeya wewe mkikosa kazi mnaanza laaumu kila siku mkipata kazi mnaanza sumbuwa watu
 
mimi nafundisha mkoani mara pia natafuta mwl.wa shule ya msingi wa kubadilishananaye kutoka wilaya yoyote mkoani Dodoma kuja wilaya ya serengeti mkoani mara.mob:0756079492,0783194892.asante.
 
Jamani, mm ni mwl wa shahada (BSc Ed). Nimepangiwa Dodoma mjini, Bihawana secondary. Natafuta mtu wa kubadilishana ili mm niende Mbeya. Tuwasiliane kupitia 0764860999

hata kabla hujaripoti umeshapangiwa kituo?kazi kumpata mtu wa sayansi
 
Jamani, mm ni mwl wa shahada (BSc Ed). Nimepangiwa Dodoma mjini, Bihawana secondary. Natafuta mtu wa kubadilishana ili mm niende Mbeya. Tuwasiliane kupitia 0764860999

ndio nilipopiga 6 pande hiyo, bh boys,
wish u ol the best
 
Back
Top Bottom