Post zipi zinatangulia kutoka kati ya Ualimu,kilimo na mifugo?

Post zipi zinatangulia kutoka kati ya Ualimu,kilimo na mifugo?

BENJA1

Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
39
Reaction score
8
Habari zenu wakuu! Mwenye kujua taarifa ya lini post za ualimu,kilimo na mifugo zinatoka? Na mara nyingi ipi inatangulia kutoka na ipi hufuatia? Tetesi na mawazo yenu ni muhimu Ahsanteni.
 
Shukrani sana wadau naomba pia kujua kama kuna tetesi za lini post tajwa hapo zinatoka?
 
Back
Top Bottom