BENJA1 Member Joined Aug 6, 2014 Posts 39 Reaction score 8 Aug 7, 2014 #1 Habari zenu wakuu! Mwenye kujua taarifa ya lini post za ualimu,kilimo na mifugo zinatoka? Na mara nyingi ipi inatangulia kutoka na ipi hufuatia? Tetesi na mawazo yenu ni muhimu Ahsanteni.
Habari zenu wakuu! Mwenye kujua taarifa ya lini post za ualimu,kilimo na mifugo zinatoka? Na mara nyingi ipi inatangulia kutoka na ipi hufuatia? Tetesi na mawazo yenu ni muhimu Ahsanteni.
D dibk JF-Expert Member Joined Jun 26, 2013 Posts 424 Reaction score 365 Aug 7, 2014 #2 ualim halafu ndo kilimo na mifugo
BENJA1 Member Joined Aug 6, 2014 Posts 39 Reaction score 8 Aug 7, 2014 Thread starter #3 Shukrani sana wadau naomba pia kujua kama kuna tetesi za lini post tajwa hapo zinatoka?