Posta Dar es Salaam ndio uso wa jiji, serikali yazinduka

Posta Dar es Salaam ndio uso wa jiji, serikali yazinduka

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
15,835
Reaction score
23,776
Baada ya SSH kuingia madarakani na baada ya SErikali ya Chama kimoja kuanzia meya, mkurugenzi na watendaji wengine JIJI la Dar limekuwa hovyo kupita maelezo, utashangaa POSTA mtu anapika wale, anaoga, bodaboda zinafunga barabara na hakuna la kuwafanya, wauza nguo wa karume wamesheheni posta, na wauza ngada wako pale pale na wakakaa sehemu ya kusubiria abiria.

Ukija kwa hao watu wamekaa hapo sehemu ya kusubiria abiria NI JOBLESS NA WENGI WAPO NA BAHASHA ZA KHAKI, hawajapenda ila hali ya kutojali kwa serikali kuacha wahangaike: Mtu mwaka wa 5 yupo anazunguka kwenye kila usaili na hawaitwi, watoto wa daraja la kwanza[Elite]
IMG_6955.jpg
IMG_6953.jpg

IMG_6963.jpg
IMG_6962.jpg
IMG_6960.jpg
IMG_6959.jpg
IMG_6956.jpg
 

Attachments

  • IMG_6954.jpg
    IMG_6954.jpg
    1.5 MB · Views: 4
Back
Top Bottom