Posta ni salama kutuma na kupokea mizigo kutoka nje ya nchi?

*happy 2020 from unique aircargo a brother to oneline traders we salute you from corona virus land Guangdong Province china*
mwaka mpya umeanza biashara zimeanza upya
mwaka mpya mambo mapya
baada ya kufanya biashara ya usafiri wa mizigo kwa ufanis mkubwa mwaka 2019
mwaka huu tumejipanga imara zaidi
mwaka huu tutakusafirishia mzigo wako kutoka china kuja bongo ndani ya siku 7 tu
kilo moja ya bidhaa za kawaida ni 10.5 hii gharama ni pamoja na ushuru na bima
kwa vilipukizi ni dola 15
kama una mzigo mkubwa bei kuanzia kilo 50 bei inapungua
*huduma mpya tulionza nazo*
tumeanza patner na viwanda vya kichina tunawaunganisha na watanzania direct
watawapa bei ndogo kuliko unazoziona kwenye alibaba na aliexpress
pia tunasafarisha container na kuzifanyia quality control na kuzituma bei sawa na bure
*2020 usipotajirika na unique cargo usinilaumu*
ofisi zetu tanzania zipo kariakoo mtaa wa pemba na livingstone
na china xiaobei lujing road
nipigie kwa 0652472486
au bonyeza link hii unufaike milele


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Parcel mnasafisha pia au ni mizigo mikubwa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu tarehe 9 Januari nina parcel imefika Tanzania status habadiliki
 
System ya posta haifanyi Kazi yake ipasavyo tangu mwezi December so jaribu kwenda kuulizia posta husika maana kuna mdau aliwaibukia huko wakamwambia kwamba mzigo wanao shida haujaingizwa kwenye system yao
Haya ni maajabu!!,inamaana wanakuwa hawajui Kama system zao hazifanyi kazi au ndio hawana professional wa ICT?
 
Haya ni maajabu!!,inamaana wanakuwa hawajui Kama system zao hazifanyi kazi au ndio hawana professional wa ICT?

kwa nn msije unique aircargo cheap and reliable


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sasa bos ukinunua kitu hapo AliExpress nawezaje kuchagua unique cargo anisafirishie

Sent using Jamii Forums mobile app

unakwenda sehemu ya chat wuth supplier unamwambia nataka mzigo wangu uende kwa hii adress ambayo nimekutumia apa china ukimpa supplier yeyoye alibaba au aliexpress anakuelewa vzr sana maana imeandikwa kichina na unajua wachina sio wote wanajua kiingereza
but kwa maelezo zaid pigi 0652472486
au fika ofsn za tanzania
kariakoo mtaa wa pemba na livingstone


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Umemaanisha nini hapo fafanua kidogo , coz mwenyewe niko Mtwara na sijaona kitu kama hicho ....

Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri anachomaanisha mzigo kutoka Dar hapo alipo unachukia muda. Ni kweli na mimi nakumbuka nilinunua tv yoka USA ilichukua siku sita tu mpaka Tanzania. Lakini kutoka Dar kuja Mtwara ilichukua wiki mbili mpaka nikashangaa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…