ukwaju_wa_ kitambo
Senior Member
- Sep 15, 2024
- 150
- 173
SONEL - POSTA.
Chorus..
Posta posta city centre
Posta posta city centre
Posta posta Dar hii bwana kila mtu ukimuuliza anakwenda posta /
Say..
Verse.1..
hi ndio posta Dar town city centre / vijana kwa wazee bila kazi wanapeta/ posta barabara kabeti mighorofo ilivyo jiseti/ utadhani ulaya kumbe Bongo hi hi mwaya/ hi ni kweli sio mfano posta kigambonino/ wavulana kwa wasichana vi nguo kama mashindano/ posta upepo wa bahari unatulinda na joto/ boat imetia nanga Fasta ishakuwa gheto/ posta watu wengine na ofisi zisizo maalumu/ jana alikuwa hapa na kesho kaiba kasha dhulumu/ posta usilaze damu posta mambo vipondozi/ maduka high classic na yote yapo wazi/ juu kuna geti kali wala yupi wa uswazi/ watu bilioner change ambassador ubalozi/ posta hi hi ipo kazi/posta nini kinakosekana usiku kama mchana / ni kuspend na kujichana / magari Expensive Cadillac sio Carina/ New Africa billicana njoo ya hela ya tax/ usiku dalala hakuna hi ndo posta bwana..

Verse..2.
Manzese,magomeni,fire,kibo,posta/ unakwenda mpe Gari cheki gari za posta zinavyojaa/ wengine hawana kazi , wanakwenda tu kuzangaa/ posta kila mtu very busy , kiswahili kingi kwao very Easy/ Yes for course ni posta samola venue / ofisi nyingi ziko maghorofa ya juu/ wapo wanao gaga, njaa wanauza bidhaa/ wengine wezi ole wako ukizubaa / posta wasanii wana songa kitega uchumi/ wengine body taiti wanajifanya warusha ngumi/ posta maghorofa yalivyo jaa Ma sister du wame jazana Aaah / chokaza kazi ooh..! nipo T.R.A , N.B.C / kumbe yuko Africa sana / posta wengi hawapo bayana, posta watu wanapendeza/ na ukijilinganisha unajiona unacheza na ukiwaangalia utadhani wana fedha/ kumbe watu wasiojiweza posta wengi vifimbo cheza/ acha posta ya zamani na zungumzia posta hii/ posta ya E.M.S Sambamba na C.R.D.B / Watu wanamelemeta ukipita you can see/ na ni vijana kwa wazee / na sio wote wanaokwenda ofisini / posta wengine migraine/ huyu aliyependeza kumbe ni mwizi kama nini/ mimi sina beef na brother men wenye afro jeans juu na chini/ mimi huwa nasikia sikia tu zero Brain/ watu wanapiga pamba dada na fat farm farm/ posta usiparamie mtu kama humfahamu / wengine ngoma life ukijua utani wao huna hamu/ posta hi hi ya Staithes na food word/ wanakwenda watu maridadi / ma sister du na ma bitozi ndio wanapo peana Ahadi/ halafu simu nyingi kama radi/ askari Roud About kashtukia nae ame Gadi..
Chorus. .

Ukwaju wa kitambo
0767 542 202