Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli humu JF tupo watu wa kila aina, wewe nadhani hujaelewa Mada,Kungekuwa na mbadala wa posta nadhani hawa jamaa wangekosa wateja kabisa maana wanachelewesha mizigo toka nje mpaka wanakera,wajitafakari na kuchukua hatua.
Kweli humu JF tupo watu wa kila aina, wewe nadhani hujaelewa Mada,
Kuna Bank ya Posta inayohusika na Miamala (Transactions)
v/s
Kuna Shirika la Posta linaloshughulika na Vifurushi
Alichomaanisha mleta mada na ulichojibu wewe ni tofauti kabisa
Postal Bank sio Postal Corporation,Ni haohao postal co operation
umechanganya madawa, OP anaongelea TPB na wewe unaongelea TPCKungekuwa na mbadala wa posta nadhani hawa jamaa wangekosa wateja kabisa maana wanachelewesha mizigo toka nje mpaka wanakera,wajitafakari na kuchukua hatua.
Duu mambo haya hatari,nimefuta mkuu.umechanganya madawa, OP anaongelea TPB na wewe unaongelea TPC
umechanganya madawa, OP anaongelea TPB na wewe unaongelea TPC
Nimefuta mkuu.Kweli humu JF tupo watu wa kila aina, wewe nadhani hujaelewa Mada,
Kuna Bank ya Posta inayohusika na Miamala (Transactions)
v/s
Kuna Shirika la Posta linaloshughulika na Vifurushi
Alichomaanisha mleta mada na ulichojibu wewe ni tofauti kabisa