Postal code na street address

Postal code na street address

Alfa0001

Member
Joined
Sep 30, 2023
Posts
11
Reaction score
12
Habari wakuu, kwenye kitambulisho cha NIDA ni namba zipi zinasimama kama postal code na ni namba zipi zinasimama kama street address
 

Attachments

  • download.jpeg
    download.jpeg
    11.8 KB · Views: 3
Ukimaliza kusoma mwaka wako wa kuzaliwa tarehe na mwezi izo namba 5 zinazofata ndo Post code yako.

Kwaiyo hapo post code yako ni.53122
 
Ukimaliza kusoma mwaka wako wa kuzaliwa tarehe na mwezi izo namba 5 zinazofata ndo Post code yako.

Kwaiyo hapo post code yako ni.53122
Kwa hiyo huyo jamaa ni huku kwetu kabisa Bombambili?
 
Back
Top Bottom