Alfa0001 Member Joined Sep 30, 2023 Posts 11 Reaction score 12 Feb 23, 2025 #1 Habari wakuu, kwenye kitambulisho cha NIDA ni namba zipi zinasimama kama postal code na ni namba zipi zinasimama kama street address Attachments download.jpeg 11.8 KB · Views: 3
Habari wakuu, kwenye kitambulisho cha NIDA ni namba zipi zinasimama kama postal code na ni namba zipi zinasimama kama street address
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Feb 23, 2025 #2 Ngoja wataalamu waje
Alfa0001 Member Joined Sep 30, 2023 Posts 11 Reaction score 12 Feb 23, 2025 Thread starter #3 Numbisa said: Ngoja wataalamu waje Click to expand... Ok
allypipi JF-Expert Member Joined May 10, 2020 Posts 3,233 Reaction score 10,563 Feb 23, 2025 #4 Ukimaliza kusoma mwaka wako wa kuzaliwa tarehe na mwezi izo namba 5 zinazofata ndo Post code yako. Kwaiyo hapo post code yako ni.53122
Ukimaliza kusoma mwaka wako wa kuzaliwa tarehe na mwezi izo namba 5 zinazofata ndo Post code yako. Kwaiyo hapo post code yako ni.53122
Manjagata JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 13,942 Reaction score 15,371 Feb 24, 2025 #5 allypipi said: Ukimaliza kusoma mwaka wako wa kuzaliwa tarehe na mwezi izo namba 5 zinazofata ndo Post code yako. Kwaiyo hapo post code yako ni.53122 Click to expand... Kwa hiyo huyo jamaa ni huku kwetu kabisa Bombambili?
allypipi said: Ukimaliza kusoma mwaka wako wa kuzaliwa tarehe na mwezi izo namba 5 zinazofata ndo Post code yako. Kwaiyo hapo post code yako ni.53122 Click to expand... Kwa hiyo huyo jamaa ni huku kwetu kabisa Bombambili?