mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
Kwanza; kigezo cha kua lecturer chuoni unafaa kua na kitu kinaitwa academic consistency ; kutoka bachelor ukaenda masters na kuendelea sio kuumga ungaNimeajiriwa as mwalimu, na ajira yangu nilipata kupitia postgraduate diploma In education, nataka nisome postgraduate diploma in curriculum. Je, inaweza nisaidia kufanya transfer kutoka kuwa mwalimu wa secondary to mwalimu wa vyuo vya ualimu.
Unajibu kitu ambacho hujaulizwa , uwe unapenda kuelewaKwanza; kigezo cha kua lecturer chuoni unafaa kua na kitu kinaitwa academic consistency ; kutoka bachelor ukaenda masters na kuendelea sio kuumga unga
Pili; unafaa kua na GPA ya atleast 3.5 kwa degree ya kwanza na 4.0 kwa masters
Nkisoma hii post yako tu naona hauna vigezo mkuu; jaribu mambo mengine tu
Nadhani hata ualimu aliupata kupitia postgraduate, Mimi nimeshafundishwa na mtu wa postgraduate Tena chuo kikuu, so kasome tuKwanza; kigezo cha kua lecturer chuoni unafaa kua na kitu kinaitwa academic consistency ; kutoka bachelor ukaenda masters na kuendelea sio kuumga unga
Pili; unafaa kua na GPA ya atleast 3.5 kwa degree ya kwanza na 4.0 kwa masters
Nkisoma hii post yako tu naona hauna vigezo mkuu; jaribu mambo mengine tu