Postgraduate Diploma in Education

TUTEER

Senior Member
Joined
Nov 6, 2013
Posts
161
Reaction score
33
Naomba anayejua chuo gani Dodoma kinachotoa post graduate ya education aniambie na gharama yake,samahan msaada wana jf!
 
Hata udom wanatoa hyo program ila kwa gharama sijui wenye kujua wanakuja,ila kama ungeweza ungefika kule wakupe taratibu ila hyo ni kuingia mwakani tena mwaka huu wameshaingza
 
Hata udom wanatoa hyo program ila kwa gharama sijui wenye kujua wanakuja,ila kama ungeweza ungefika kule wakupe taratibu ila hyo ni kuingia mwakani tena mwaka huu wameshaingza

Aksante!
 
Nenda UDOM kama mkuu alivyokwambia ila ndo utakuwa umechelewa labda usome mwakani kwa sasa wanaenda mwezi wa pili toka waanze kusoma
 
Naomba anayejua chuo gani Dodoma kinachotoa post graduate ya education aniambie na gharama yake,samahan msaada wana jf!
Fulltime PGDE UdoM ada 2,920,000
Evening PGDE UdoM ada 3,920,000
hizo ni ada tu mazagazaga mengine hujaweka hapo,
hawa jamaa bwana wamepandisha ada balaaaa karibia 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…