Postgraduate diploma in Entrepreneurship

Postgraduate diploma in Entrepreneurship

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
14,588
Reaction score
32,361
Wakuu habari..

Mimi ni mjasiriamali. Ninataka nikasome hiyo kozi hapo juu UDSM kwa manufaa yangu binafsi kama mjasiriamali. Je, kuna ajira huwa zinatoka kwa cheti cha hiyo PGDEE? Binafsi sijawahi sikia ajira za watu wa hiyo PGDEE
 
umeshasema ni kwa manufaa yako, so nashangaaa tena kusikia unauluza kama kuna ajira???? au unataka kufuata mkumbo????wewe mwenyewe ndo wa kujiajiri ukishindwa hilo ama huoni itakavyowezekana ni bora uachane nayo mapema ufanye kingine
 
Mdau
unazungumzia ujasiriamali halafu unataka tena kuajiriwa
are you serious?
 
Wakuu kuulizia hivyo haimaanishi nataka tena kuajiriwa. Kazi zangu zinanitosha na pia kuna watu wamepata ajira kupitia biashara yangu. Kiufupi haiwezekani tena mimi kuajiriwa. Nachotaka kujua ni hiyo kozi ukiachilia mbali kutusaidia sisi wajasiriamali je, ajira zake ni zipi?
 
Back
Top Bottom