Wakuu kuulizia hivyo haimaanishi nataka tena kuajiriwa. Kazi zangu zinanitosha na pia kuna watu wamepata ajira kupitia biashara yangu. Kiufupi haiwezekani tena mimi kuajiriwa. Nachotaka kujua ni hiyo kozi ukiachilia mbali kutusaidia sisi wajasiriamali je, ajira zake ni zipi?