Hapana recategorization mwisho n bachelor so hyo soma tu kwa manufaa yako kutafta opportunities nje ya ualimu wako other wise anza degree nyingine upya tafakari chuku hatua #HakielimuNdugu wasomi wa Tanganyika moja kwa moja kwa muda.
Mimi nina degree ya elimu kifupi ni mwalimu, nataka kusoma icho kitu hapo juu.
....Vipi wenye mamlaka wanaweza kunibadilisha kutoka kwenye teacher hadi u transport officer endapo nikafanikiwa Kumaliza hiyo programme?
1. uTO hauna faida yoyoteeeNdugu wasomi wa Tanganyika moja kwa moja kwa muda.