postgraduate diploma

Nicky nicky

Senior Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
106
Reaction score
9
Naomba ushauri juu ya chuo bora cha kusoma Postgraduate diploma in procurement and supply management hapa Tanzania.Je,katika mitihani ta bodi ya ugavi,mwenye kiwaango hiki cha elimu anaanza na 'level' gani?Nafungua mlango kwa ushauri zaidi na mjadala juu ya kozi hii.Kalibuni
 

Nenda TIA kurasini, mitaala Yao iko attached na bodi ya PSPT (zamani NBMM ), na ukimaliza kama mtu aliyemaliza Undergraduate unaanzia prof. Stage iv. Faida yake, especially kama ni non- proc prof holder, unasoma almost yaleyale urakayoyakuta kwenye review class za CSP
 

Nenda TIA kurasini, mitaala Yao iko attached na bodi ya PSPT (zamani NBMM ), na ukimaliza kama mtu aliyemaliza Undergraduate unaanzia prof. Stage iv. Faida yake, especially kama ni non- proc prof holder, unasoma almost yaleyale utakayoyakuta kwenye review class za CSP
 

Nashukulu kaka kwa ushauri ila naomba unifahamishe kitu kimoja,natambua kuwa tia kwa sasa wanamatawi mikoani kama Mwanza na Mbeya je, module za kozi hiyo zina utofauti kulingana na 'campus' au zina fanana pote.Thanks.
 
Mwenye ufahamu juu ya module za kozi hiyo tajwa katika chuo cha tia kulasini ni vyema akaweka wazi jukwaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…