Wadau naomba kuuliza iv kama nina degree ya pharmacy alaf nataka nisome masters ya medicine,kama nitapiga kwanza postgraduate ya medicine then ndo nkapga masters ya medicne, je anawezekana naombeni msaada wenu

Kwa fani kama pharmacy,maabara,mionzi na physio hata uwe na digrii sita zenye mapembe boss wenu anabaki kuwa MD tu!Huwezi kusomea masomo ya Boss wako bila wewe mwenyewe kupitia huko! ni sawa na mgambo kutamani kozi ya umeja jenerali badala ya kutamani kuwa PJ.Hata hivyo unaweza tu kuanza kozi ya miaka mitano maana nadhani umri unaruhusu