postgraduate ya sheria

ng'home

Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
97
Reaction score
12
ndg zangu wanajamvi napenda kujulishwa kitu kimoja kwamba hii postgraduate ya sheria ina thamani gani katika tathnia ya sheria?
 
Unakusudia postgraduate diploma in legal practice inayotolewa pale Law School of Tanzania au?km ni hiyo it is all about practical training in legal arena, na hii inakufanya uwe more competent practically rather than theoretically.Kutokana na sheria ya sasa ya the Law School of Tanzania Act,hii kitu imefanywa kuwa ya lazima kwa kila graduate wa sheria ambaye anataka kupractise sheria Tz,whether as advocate or public servant in law like state attorney,magistrate,solicitor,public prosecutor etc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…