Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vifurushi vya Post paid vinatofautiana kwakuwa vinategemeana na chaguo na mahitaji/uwezo wa mteja. Mara nyingi huwa mteja anajichagulia mwenyewe aina ya Hand set anayotaka, kiwango cha masaa ya maongezi na internet inayomtosha. Aina ya Hand set na mda wa mkataba unaweza kubadilisha gharama hivyo sio rahisi kupewa gharama bila wewe mwenyewe kufanya uchaguzi wa nini unachohitaji.Kichwa cha habari cha jieleza, naomba mwenye kufahamu gharama za kujiunga postpaid ya mitandao tajwa hapo juu anisaidie chati yake.
Asante, nimekuelewa.Vifurushi vya Post paid vinatofautiana kwakuwa vinategemeana na chaguo na mahitaji/uwezo wa mteja. Mara nyingi huwa mteja anajichagulia mwenyewe aina ya Hand set anayotaka, kiwango cha masaa ya maongezi na internet inayomtosha. Aina ya Hand set na mda wa mkataba unaweza kubadilisha gharama hivyo sio rahisi kupewa gharama bila wewe mwenyewe kufanya uchaguzi wa nini unachohitaji.