Vifurushi vya Post paid vinatofautiana kwakuwa vinategemeana na chaguo na mahitaji/uwezo wa mteja. Mara nyingi huwa mteja anajichagulia mwenyewe aina ya Hand set anayotaka, kiwango cha masaa ya maongezi na internet inayomtosha. Aina ya Hand set na mda wa mkataba unaweza kubadilisha gharama hivyo sio rahisi kupewa gharama bila wewe mwenyewe kufanya uchaguzi wa nini unachohitaji.