Potelea mbali, acha Leo nimuunge mtani mkono

Potelea mbali, acha Leo nimuunge mtani mkono

Rule L

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2020
Posts
1,846
Reaction score
2,754
Ni masaa machache tu yamebaki kabla ya Simba kuwavaa waarabu,

Nina sababu kubwa mbili kuwaunga mkono Simba kwenye mechi ya Leo.
  1. Ni CAF kutupa vigogo wote ili tutolewe kwenye mashindano ili zibaki team wanazozitaka wao.

  2. Sina upepo na waarabu kabisa kabisa tangu Morocco atukatae.

  3. Mtani akishinda kuanzia goli mbili basi nusu ni kama kumeza maji tu.
Kila la kheri kwenye mchezo wa leo 🙏 🙏 🙏
 
Sawa lakini Mambo siyo mepesi kiasi hicho mkuu
 
Sawa
Screenshot_20240329-192405.png
 
Back
Top Bottom