Rule L JF-Expert Member Joined May 31, 2020 Posts 1,846 Reaction score 2,754 Mar 29, 2024 #1 Ni masaa machache tu yamebaki kabla ya Simba kuwavaa waarabu, Nina sababu kubwa mbili kuwaunga mkono Simba kwenye mechi ya Leo. Ni CAF kutupa vigogo wote ili tutolewe kwenye mashindano ili zibaki team wanazozitaka wao. Sina upepo na waarabu kabisa kabisa tangu Morocco atukatae. Mtani akishinda kuanzia goli mbili basi nusu ni kama kumeza maji tu. Kila la kheri kwenye mchezo wa leo π π π
Ni masaa machache tu yamebaki kabla ya Simba kuwavaa waarabu, Nina sababu kubwa mbili kuwaunga mkono Simba kwenye mechi ya Leo. Ni CAF kutupa vigogo wote ili tutolewe kwenye mashindano ili zibaki team wanazozitaka wao. Sina upepo na waarabu kabisa kabisa tangu Morocco atukatae. Mtani akishinda kuanzia goli mbili basi nusu ni kama kumeza maji tu. Kila la kheri kwenye mchezo wa leo π π π
Rule L JF-Expert Member Joined May 31, 2020 Posts 1,846 Reaction score 2,754 Mar 29, 2024 Thread starter #3 K11 said: Ubarikiwe Click to expand... Pamoja mkuu
Nrangoo JF-Expert Member Joined May 22, 2017 Posts 3,407 Reaction score 5,418 Mar 29, 2024 #4 Sawa lakini Mambo siyo mepesi kiasi hicho mkuu
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 24,314 Reaction score 38,919 Mar 29, 2024 #5 Sawa