Poulsen ataja kikosi cha kuivaa Msumbiji.......Ni majina yale yale.....Je Tufafika kweli?

Give us your alternative list
Soma post yangu ya kwanza utapata jibu la alternative list yangu....

Tatizo la Timu yetu ya Taifa ni kocha...Anashindwa kuita wachezaji wa maana na pia hata hao anaowaita anashindwa kupanga timu vizuri.......Hivi unaweza ukaamini kwamba John Boko ni mzuri zadi ya Mbwana Samatta ama Thomas Ulimwengu?......Poulsen anasema Samatta hana mapenzi na Stars....Kama Mbwana Samatta ama Thomas Ulimwengu angecheza jana tungepata ushindi wa magoli mengi sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…