wajasiliamali wa kuku hiyo incubator inapatikana Kibaha, imefanya kazi hardly 3 months, pia utapewa na offer ya generator ya kuendeshea, sababu ya kuuza ni kwa sababu nimeamua kubadilisha biashara.kwa week unaingiza mayai 2400,so jumla kwa mwezi ni mayai 9600.
Ni sawa na mpya,pia utapewa guarantee.
Ni sawa na mpya,pia utapewa guarantee.