M MZEE SERENGETI JF-Expert Member Joined Oct 8, 2010 Posts 214 Reaction score 10 Dec 2, 2010 #1 Ndugu zangu wana JF,Huyu Mzee kwa mwendo huu wa kusuasua wa taifa Stars chamoto atakipata na sisi tulivyo tunategemea kushinda muda wote,wenzangu mnaonaje mwenendo wa timu yetu ya Taifa.
Ndugu zangu wana JF,Huyu Mzee kwa mwendo huu wa kusuasua wa taifa Stars chamoto atakipata na sisi tulivyo tunategemea kushinda muda wote,wenzangu mnaonaje mwenendo wa timu yetu ya Taifa.
G Gad ONEYA JF-Expert Member Joined Oct 26, 2010 Posts 2,629 Reaction score 172 Dec 2, 2010 #2 a na b ni sawa!