Poverty in USA

Ni kweli mkuu nipo qatar hapa hawa jamaa wana pesa aise? Halafu don care kinoma, hawajali wewe ni mzungu mwafrika mchina ..yani wao wako na mambo zao tu.
Basi huko ni kwa kwenda kuishi.Vipi taratibu zao zikoje ukitakwa kwenda kuishi huko??.
 
Ukiwa mlevi hela za mtaji utalewea mipombe wakati mtu ambae sio mlevi kupotea tu hizo hela sijui kwa sababu zipi hela zitapotea
Fanya research vizuri wanywa pombe za gharama wengi ni watu gani?,na wanywa soda wengi ni watu gani kisha urudi hapa jukwaani.
 
Ni kweli mkuu nipo qatar hapa hawa jamaa wana pesa aise? Halafu don care kinoma, hawajali wewe ni mzungu mwafrika mchina ..yani wao wako na mambo zao tu.

Hao watu we waache tu mkuu, tunakaa tukidanganyana vijiweni bongo kuwa wazungu wana hela, my foot waarabu ni noma
 
unaposema maskin kwneye hizo nchi utakiwa uangalie umaskin wao wako down kiasi gani.

unaweza kuta maskin wa huko huku tukamuona mwenye kipato cha kati.

Mkuu hizo nchi habari nyengine, wazungu wananawa kabisa.

UAE Kima cha chini cha mshahara kwa mzawa haipungui m 6 ya kibongo kwa mwezi. maskini wa UAE anamiliki ferari bila ya tabu kabisa.
 
Ningumu sana ku satle vizuri, life ipo very expensive kwa wageni.
Ila wapo wapambanaji kibao wanaotisua, kama wa hindi wengi tu wanapiga hela ya maana kwenye hiyo miji
Ajira zinapatikana??.
 
Halafu utaona mijitu inasema bora ni "storway" USA maisha ya bongo hayaeleweki!!![emoji1787]
yes after all america ni moja ya nchi zenye uchumi mkubwa dunian.
always lazima kuwe na tabaka la maskin na tajiri. haijalishi hiyo nchi ina hela kiasi gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…