Poverty Rates In Africa(Top 10)

Haja gani tujenge mabwawa ilhali hela tunazo za kuwalipa ili mlime nyie, limeni hayo mapori yenu tutawalipa.
Still doesn't reach demand mkuu.
Hiyo hela yatosheleza niniiii?!
Eh asee ukiburi na kujifaragua kutawaua mkuu BYE
 
Mbona Malawi siioni?
 
wewe kaa hapo kibera ukila githeri na maji ya chumvi,

wewe kama unaamini juhudi zenu zimewafikisha hapo mlipo,sisi tunashangaa kwanini DC bado ina feature za.LDC,sisi LDC tunakataa mkopo ksh 1.2 tir kutoka china,DC inakosa ksh 400 bln kwamba haina uwezo wa kurudisha,LDC ya kipekee duniani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
Reactions: Oii
They say arguing with an idiot makes two of them so, I’ll just leave you alone on this one.
 
You are too lazy to know what's happening in your country, China didn't want to give you loan for Bagamoyo because Tz won't pay back but instead they wanted to invest there for 99yrs. On the other hand China haikunyima Kenya any loan, if you have evidence that China ilitunyima loan then you can table it here.
 
fikiria uwezavyo,wewe ndio hujui nini kinaendelea hapo harambee,utauzwa ukiwa umeinama hapo cbd,shauri yako.

labda nikuulize hao wachina hawakuona cha ku invest hapo kenya, even for 200 yrs??

hawaoni cha maana hapo mpaka kufikiri bilion 400 zitapepea bure[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
I have asked you a simple question, prove to us that China denied Kenya the loan you are talking about.
 
I have asked you a simple question, prove to us that China denied Kenya the loan you are talking about.
si kazi yangu.taarifa zingine serikali yako haikuona umuhimu kukupa.acha ziwe siri.
 
si kazi yangu.taarifa zingine serikali yako haikuona umuhimu kukupa.acha ziwe siri.
Kama ni siri basi wewe umejuaje ati tulinyimwa loan? You only rely on rumors without proves and evidences, foolish.
 
Kama ni siri basi wewe umejuaje ati tulinyimwa loan? You only rely on rumors without proves and evidences, foolish.
usinipatie hasira za umasikini wako,idiot

eti DC inakwenda kukopa china 40mln ksh,si mngekuja tuwape! ujuaji mwiingi.
 
Acheni uvivu na kusingizia kukosa rutuba, Qatar more desert than Kenya, but they donated food to your shithole.
 
You've been coming with this nonsense of Tz not paying their debts for a while, for a second time am asking you, for a source claiming Tz didn't pay or can't pay loans.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…