Povu la Emmanuel Mbasha baada ya madam Flora kuzindua kitabu chenye jina 'Siri za Flora Mbasha'

Sasa povu liko wapi? Niseme tu kwamba huyo mwanamume aliyemchukua Flora amekula hasara. Atakapoondoka kwake atakuwa anafanya hayo hayo. Huyu Florah ana roho ya uzinzi. Shetani hatamwacha salama. Atahangaika sana na dunia hii. Na kama hatatubu na kuomba msamaha ajue moto wa milele unamsubiri. Kwa sasa anaweza kuringia kiburi cha uzima. Lakini iko siku atajuta. Wala hiyo siku haiko mbali. Namshauri Emmanuel Mbasha aendelee kukaa kimya. Wala asimjibu. Ninajua inaudhi. Mwombe Mungu hekima na busara. Atakupa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu frola alisha KOJOZWA kwa miaka kadhaa leo ndio anaona mabaya ya aluyekuwa ANAMKOJOZA ..
Mbona wakati wako kwenye mapenzi moto moto hakuandika kitabu ??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uzinzi tu!! nyakati za mwisho. Huyo Flora sijui hata mzee wa NDIYOOOOOO angekuwepo akayaona haya na kuyasikia angejisikiaje!!! NDIYOOOOOOO!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hahaha watu kama hawa eti ni watumishi was mungu.
Mbele ya madhabahu ni haleluya kwa sana na kulia kwa sana duuh
Ee mungu tusaidie
 


Nani aliyekuwa analialia mitandaoni akitaka Flora wake? Ulishamsikia Flora akilia lia mitandaoni akitaka Mbasha wake?

Emman alisema mengi sana juu ya Flora lakini Flora alikuwa kimya.

Hafai kuw amke, kwa nini ulikuwa unamlilia kila wakti?

Ulimkuta na wanaume wengine, wewe ullipomuoa ulikuwa bikira?

Ulipomuoa Flora alikuwa mke wa nani vile? Sema kweli.

All in all, sipendi na sikubaliani na tangu mwanzo nilisema, mitandao ama jamii haijengi ndoa!. Niliwaonya sana Emma alipoanza kucheza taarabu mitandaoni nikamwambia hapa ndipo unabomoa ndoa yako mchana kutwa. Lakini hakunielewa.

Now it is over. Hakuna ufahaari wa kuanikana mitandaoni na kuanza kukandiana. Hawa watu wakumbuke wana mtoto wa kike ambaye kile wanakifanya kinamuumiza sana ylue binti na kumwathiri ki saikiolojia.

Amri: Komeni kualika watu kwenye unyumba wenu. Mapenzi hayana nguvo zaidi ya watu wawili. Now, kila matu amove kivyake. Flora na Emma acheni upumbavu!.
 
Inaonesha huyo flora bado hajapata uhondo aliokuwa anapewa na Emma.
 
roho ya uzinzi unayo wewe.usatembea na watu wangapi wewe kwenda huko
 
Mhh! Pale unapoachana na nyota lazima utafute namna angalau upate vumbi lake.
Kuna makosa hayatakiwi kuzungumzwa na kuendelezwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka kale kawimbo kao ka maisha ya ndoa

sent from my BlackBerry keyone using JamiiForums mobile app
 
Wanandoa wa siku hizi mmh hawana siri kabisa
Huyo Emanuel Mbasha ni mwanamume kweli???? Kwa nini anajishushia hadhi zaidi kwa kutaka kuongelea mambo ya ndoa[hasa mabaya] hadharani? Hivi hajafundwa huyo, Anachotakiwa ni kunyamaza kimya kwani 'time always tell'
G Habasha aliwahi kukosea kidogo kuhusu mtalaka wake lakini alipopewa ushauri wa kunyamaza kimya alifanya hivyo na mwisho wa siku mambo yamekwenda shwari. Kuzungumzia mambo ya ndoa[mabaya] hadharani kwa mwanamume haifai kabisa. Kwa akina mama wao kwa hulka ya walivyoumbwa ni sensitivi sana na mbadala wa musuli kwao ni maneno hivyo anaweza sema mengi mabaya lakini mwisho wa siku ukweli unajidhihiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…