Povu la Emmanuel Mbasha baada ya madam Flora kuzindua kitabu chenye jina 'Siri za Flora Mbasha'

Huyu mama kuna mishipa imekatika katika kichwa chake.. labda anataka uhalali wa ndoa yake aliyoifunga
 
Akiwa kwenye siku zake anakuwa mtamu zaidi. Huwa simuachi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unawaza tu uzinzi na uasherati. Usipookoka na kutubu huo uovu? Hakuna jinsi utakwepa moto wa milele. Unaweza kuwa na kiburi sasa kwa kuwa bado unaweza kwenda chooni mwenyewe. Hujui yanayoweza kuzaluwa na siku moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
huo moto wa milele utachomwa wewe.unampangia mungu wa kumchoma? mnafiki wewe
 
mkuu we ndio mme mpya wa huyo Flora nini?, umeamua uje umtetee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasikitisha sana...

Siyo vizuri kabisa kusemana madhaifu yenu hata baada ya kuachana... siyo ungwana wala utu...


cc: mahondaw
 
Kichaa akikuchukulia taulo ukiwa bafu la uswahilini usitoke uchi kufukuzia taulo. Emmanuel muache Flora auze kitabu kwa wapenda umbea, kumbuka kwa Tanzania hizo ndio habari zinazo uzika zaidi - udaku! Subiri utaona idadi ya wachangiaji kwenye uzi huu. Unachoweza kufanya kimyakimya ni kufuatilia kama unaweza kupata faida kutokana na mauzo ya hicho kitabu. Fanya mambo kwa faida Mbasha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara nyingi, wanawake (samahani akina mama) wanatoa siri za ndani kuliko wanaume hata bila ya kuwa wametengana. Na mara zote, si rahisi mwanamme kutangaza ovyo udhaifu wa mke wake au mtalaka wake. Aidha, ni nadra mwanamme kumsifia au kumsema mwanamke mwingine kwa mke wake.
Naamini vifua vya wanaume vimefungwa vizuri kuliko vya wanawake. Vya wanawake vinapitisha hewa! Wasamehewe!
 
Huyu mdada ni kuku wa kienyeji, hata umlishe mapumba ndani lazima atoke. Namsifu Mbasha kuishi na kichaa kwa muda wote huo bila kujua. Flora shika yako acha kujitia aibu.
 
Wewe Hute mchepuko wa nini wakati unamke ? Mengine yote uloandika napigia msitari. Ila achana na mchepuko.
nilishauacha kitambo, ni enzi hizo nilipokuwa gizani. nilikulaga mchepuko mmoja upo period, sijui uliniwekea dawa gani aisee. ni miaka kama zaidi ya mitano iliyopita na nilishaachaga uo ujinga kabisa sitaki ata kusikia. nilichokuwa naongelea ni kwamba, flora inawezekana ni moja ya wanawake wagumu sana kuishi nao kwasababu ya ushamba. kwa bahati mbaya nimeshaishi maeneo anakotoka hivyo wanawake wa huko nawafahamu. umalaya kwao ni kitu cha kawaida na ndio maana anao ujasiri kuongea mambo ya sirini/chumbani ya mwenzake. yakwake anajua mbasha hataongea kwasababu mbasha ni mwanaume hawezi kufichua siri za mwanamke wasijewakafanana.
 
kwanza watakaonunua icho kitabu chake cha kimbea, watakuwa washamba kama yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…