Povu la Emmanuel Mbasha baada ya madam Flora kuzindua kitabu chenye jina 'Siri za Flora Mbasha'

Ni hatari sana kuoa mwanamke mjinga.

Ni hatari zaidi mkiachana na huyo mwanamke

mjinga maana atakugeuza mbao ya matangazo
 
Huyo mwanamke ni kilaza, tena yule dogo aliyemuoa kapata double loss kwa kua kaoa bibi bomba lakini pia hana akili anasema sema hovyo.

Sasa kama aliingiliwa akiwa P hilo ni jambo la kusema hadharani?
Kashaolewa yanini kuhangaika na mambo ya mtu aliyeachana nae?

sent from Sokoro nkorambokande
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli afu mbasha kanaonesha ukidume hana habari na huyo flora ndiyo kwanza yupo bize na mambo yake na hata alivyo jibu amejibu kwa busara sana.
 
Shetani atawaaibisha sana kwa kuamua kuvunja kiapo cha kutokuachana milele.
 
Mwanawake akiona x amzungumzi ata kama yeye ndo alimtenda anakuaga kama anawashwa,... Na nyenyere, tuliza kiseb icho we Flora,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…