Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
As long huyo mubabu atampenda na kumjali sioni shida wazee ka wale hawasumbui sasa hawa vijana ni kero tupu wanataka kusuuza rungu kila sehemu ukichangia na ustar plus kiki basi ni majangaUlitaka na yeye apate babu kama K Lynn?!
Jokate kuna mahali ka bug step kiukweli sijui ni gundu atulie ajipange
Haku ciutaki mimikwanini usikie tu upo tena kwa bei rahisi ya mwananchi wa kawaida
Hahha haaaaaa kawaida bhanaLeo naona umeamua kweli
Sitamtaja diamond kwenye life nime achieve mengi na ninamshukuru Mwenyezi Mungu kwa baraka zake alizonijalia.swali la kizushi.. wewe ushawai ku achieve nini kwenye maisha hadi useme diamond kilaza au wa ajabu ajabu
Mafanikio ya kubahatishaIla hawako 'smart' upstairs, nadhani elimu ndogo inachangia
you may be right au ni Ile birds of the same feather flock togetherMuhimu hyo pia unaweza kuwa na money lakini bila elimu nayo ikawa kero kwa mambo uyatendayo pia, that's according to me
Sitamtaja diamond kwenye life nime achieve mengi na ninamshukuru Mwenyezi Mungu kwa baraka zake alizonijalia.
Shule kwa ajili ya watu wasio na talent....Mbwana Samatta.Hashim.Kiba nk...hawahitaji shule ya darasani...wanatengeza pesa ndefu ..jay z ana degree.kanye.50 cent.Floyd Mayweather hajui hata kusoma..Messi.David Beckham. Christiano Ronaldo....hawa wote wanapendwa na super model.actress.sio sampuli yako..Jokate ni first runner miss Tanzania 2006..usitegemee kupenda bankers. DoctorsMkurungu wa Ali k si mchezo naskia.
Very true, yaani huyu angepata mwanaume flani gentle Mwenye hadhi flani na asokuwa msanii wa fani yoyoteJokate ni mrembo ila anapo bugi step ni Ku date vianaume vya ajabu ajabu
Na wewe unamfanyia mwenzako hayo mambo au unafanyiwa wewe tu, maana wanawake mnavyopenda hizo one-sided!Iwe kubwa ndogo ya punda Mimi napenda kufikishwa, kupendwa na kujaliwa ndo silaha kubwa za maangamizi kwangu.
Jokate sio mtu wa kudate na wasanii wa aina yoyoteDiamond Platinumz
Hashim Thabit
Ali Kiba
Mtake radhi Jojo, hawa ni wanaume ambao wameinspire vijana wengi kua - it's possible, and it can be done. Najua tunatofautiana sana kimtazamo, lkn kiuhalisia hawa si 'wanaume suruali'.
Nafikiri mapenzi hayapimwi kwa shule.Wanaume wasio na mbele wala nyuma yani shuleless ingawa wana hela ya kubadilisha mboga
Kwani jamani mapenzi ni Chuo mpaka itifaki ya elimu izingatiwe??Si wote wamebahatika kupata hiyo elimu, hawa wametoka 'average Joe families' na elimu zao hizo hizo lkn wameachieve vitu vikubwa kwenye careers zao. What have you personally achieved kwenye career yako hata uite watu 'vilaza'.
Jokate ni mrembo ila anapo bugi step ni Ku date vianaume vya ajabu ajabu
Nafikiri huwa tunajisahau sana wakati wa kukosoa.Tujiulize hali halisi je huko katika familia zetu,mtaani,na makazini ni kweli mtu akidate na mtu tu anaoana naye?You can say this only if you married your 1st man.
Kwa hiyo wenye elimu ndogo au wasioelimika kwa elimu ya darasani hawana haki ya kupenda wala kupendwa ?Elimu inampa mtu ujuzi, hekima na kuongeza busara. Aliyeelimika anategemewa kuji-conduct tofauti na asiye na elimu.
Lipumba aliona 'mwanya' akautumia, pengine elimu yake ilimsaidia. Ndio maana ukiwa na hela halafu huna elimu, utafilisiwa na wenye elimu.
Haswaaa yaani hapo tu ndo anapo chemkaaaaJokate ni mrembo ila anapo bugi step ni Ku date vianaume vya ajabu ajabu
Jamani?Kweli kabisa,kila anachokifanya hakieleweki
Mhh!!!mbona hao wenye vyeti kibao wanaotuongoza hawana hizo busara wanatuburuza tu kama ng'ombe wa maksai.Elimu inampa mtu ujuzi, hekima na kuongeza busara. Aliyeelimika anategemewa kuji-conduct tofauti na asiye na elimu.
Lipumba aliona 'mwanya' akautumia, pengine elimu yake ilimsaidia. Ndio maana ukiwa na hela halafu huna elimu, utafilisiwa na wenye elimu.