Povu la Jokate

diamond is one of the most achieved son of our countrry... hakuna hata ceo alimekalibia.. wewe je umeacshiteve nini?? digrii zinatudanganya sana hizi
Mkuu unategemea tu na mtazamo wa mtu kuhusu achievement zake kwako waweza kumwona dai ka achieve according to ua perspective ila kwangu Mimi nika mu view tofauti kabisa
 
Joketi huwa namuona mtu wa kudete na design za akina Psquare .....sijui kwanini anajishindwa kumaintain classy.
 
Upo sahihi mkuu ila rekebisha hapo mashuhuri weka maarufu mkuu
 
Haswaaa yaani hapo tu ndo anapo chemkaaaa
K Lyn alikuwa na mambo ila alikuwa anafanya relations zake secret mno tofauti na JoJo aisee kwa level yake ange focus angekuwa mbali
 
Mhh!!!mbona hao wenye vyeti kibao wanaotuongoza hawana hizo busara wanatuburuza tu kama ng'ombe wa maksai.

Hawana busara ndio maana. Viongozi wengi wa Tanzania wana elimu ya kusuasua, hawapo 'smart' vichwani.

Lakini wanachaguliwa na nani kama sio na haohao wanaoburuzwa!
 
Namaanisha joket anapilika pilika nying sana mpaka anakuwa confused hajui kipi kitamtoa. Mara siasa,music,urembo,ufanyabiashara,u mc na kadhalika. Angechagua kimoja au viwili akavikomalia na kuwa serious angekua mbali sana kimafanikio.(sio saiv anapashana na vijembe juu kisa mwanaume aisee)
 
Jokate ni mzuri lakini anadate vituko ila Seven anaclassy fulani hivi.
 
Nafikiri yeye ameona bora ajishughulishe na vitu vingi ilimradi ana muda navyo na kuvimudu.
Sasa sisi tunao ona anafanya vingi ni bora tufanye sisi vichache au kimoja katika maisha yetu binafsi.
 
Hawana busara ndio maana. Viongozi wengi wa Tanzania hawapo 'smart' vichwani.

Lakini wanachaguliwa na nani kama sio na haohao wanaoburuzwa!
Wengi ni wafoji elimu pia mifumo yetu ilivo Watanzania walio nje wanafanya vzuri tu huku Bongo tuna siasa za kijinga jinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…