Chibudee
JF-Expert Member
- Dec 28, 2016
- 1,775
- 2,404
Kijana wakiume unaacha kupiga kazi kutwa kuazima nguo kwenda location kupiga PC uki Post status (Usifosi tufanane)
Hukumfukoni huna hata mia Kutwa kulala nyumbani kumtegemea Mama apike akuamshe ule ukiwa unakoroma Kama Ngurue Kwa vibia vyajana club vyakugongea I swear Wewe Sio Mwanaume Nimwana Umeme Na Soon Unakata [emoji51][emoji51][emoji51]