Povu zitooo lamtoka zari the boss lady baada ya mtoto wake tiffah kuhusishwa na ishu za mtoto wa hamissa mobetto

Povu zitooo lamtoka zari the boss lady baada ya mtoto wake tiffah kuhusishwa na ishu za mtoto wa hamissa mobetto

isho_boy

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2015
Posts
2,145
Reaction score
1,892
Uko Instagram page moja ya kishilawadu imajaribu kumuhusisha mtoto tiffah na kichanga cha hamisa mobetto basi zari ikamfika hapa, basi povuuuu ziiiito limemtoka ni shida.
2a4cd1b5c3b76c7a85b41a74ad082687.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa hiyo huyo tiffa yupo level za watu ambao wakifa wanapaa kama yesu ama? .....kama kweli ni wa daimond basi wote ni sawa na daimond ni free meat hajafunga ndoa na mtu yeyote aweza kuzaa naye...
 
Uko Instagram page moja ya kishilawadu imajaribu kumuhusisha mtoto tiffah na kichanga cha hamisa mobetto basi zari ikamfika hapa, basi povuuuu ziiiito limemtoka ni shida.
2a4cd1b5c3b76c7a85b41a74ad082687.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu hao Udaku tz ni wezi sana wa nyuzi za humu JF .

Mfano hata hiyo komenti ameiiba humu JF kutoka kwa member ndumi la kuwilii

Screenshot_2017-08-08-15-53-19_1.jpg
 
Halafu hao Udaku tz ni wezi sana wa nyuzi za humu JF .

Mfano hata hiyo komenti ameiiba humu JF kutoka kwa member ndumi la kuwilii

View attachment 561184
Mkuu unajuaje kama huyo Ndumi la kuwili yeye mwenyewe ndio amepost na kwenye hiyo blog? Wengi humu ni waandishi wanapost humu JF na ktk website au blogs zao, na wengine wanarusha fb na ktk magazeti wanayofanyia kazi.
 
Hahaa yaani huyu bibi bomba atakuja kufa kwa presha yaani hajuagi kumezea vitu sasa na mtoto akishawekwa hadharani c atajitia kitanzi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom