Halafu hao Udaku tz ni wezi sana wa nyuzi za humu JF .Uko Instagram page moja ya kishilawadu imajaribu kumuhusisha mtoto tiffah na kichanga cha hamisa mobetto basi zari ikamfika hapa, basi povuuuu ziiiito limemtoka ni shida.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwezo wako wa kufikiri umeishia hapa?kwa hiyo huyo tiffa yupo level za watu ambao wakifa wanapaa kama yesu ama? .....
Ko habari hiyo mkuu alianza kuwa nayo ndumolakuwili hadi uwaite hao wezi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Halafu hao Udaku tz ni wezi sana wa nyuzi za humu JF .
Mfano hata hiyo komenti ameiiba humu JF kutoka kwa member ndumi la kuwilii
View attachment 561184
Wameniibia threads zangu nyingi sana hawa halafu wakawa wanaziweka kwenye blog yao.Ko habari hiyo mkuu alianza kuwa nayo ndumolakuwili hadi uwaite hao wezi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapeleke kisutu wakulipe 2.2 billion kama AY na FAWameniibia threads zangu nyingi sana hawa halafu wakawa wanaziweka kwenye blog yao.
Kitu ambacho hukipendi jua hakipo kwaajili yako..Hizi CHEAP NEWZ tumezikimbia huko insta na fb.Pliz mtoa mada tuwe na utofauti basi kati yetu na hao wa huko
hili sio swali bali ni jibu hivyo toa alama ya kuuliza....upo madam?Uwezo wako wa kufikiri umeishia hapa?
ana dharau kishezi. kuna mtu cheap kama yeye alokitembeza africa nzima hadi kaja kukitoa tandale hukoMganda ana matatizo huyu hahaha ,sasa mwache hawajui wabongo watampelekesha mpaka akojoe ndani badala ya chooni
Sent using Jamii Forums mobile app
ana dharau kishezi. kuna mtu cheap kama yeye alokitembeza africa nzima hadi kaja kukitoa tandale huko
Kajiunga JF mwezi may 17 kuna baadhi ya vitu ni mgeni navyo mfano hajui majukwaa ya umuhimu UPI kwenye kutoa habari.Kitu ambacho hukipendi jua hakipo kwaajili yako..
Hii ni forum ya macelebrity. So chill
Sio mzima huyu bibi tukinaokwa hiyo huyo tiffa yupo level za watu ambao wakifa wanapaa kama yesu ama? .....kama kweli ni wa daimond basi wote ni sawa na daimond ni free meat hajafunga ndoa na mtu yeyote aweza kuzaa naye...
Halafu hao Udaku tz ni wezi sana wa nyuzi za humu JF .
Mfano hata hiyo komenti ameiiba humu JF kutoka kwa member ndumi la kuwilii
View attachment 561184
Umeelewa lakini nilichokiandika?Ndumilakuwili ndio anamiliki hiyo page ya Instagram
Umeenda ku edit upupu wako.hili sio swali bali ni jibu hivyo toa alama ya kuuliza....upo madam?
Mkuu unajuaje kama huyo Ndumi la kuwili yeye mwenyewe ndio amepost na kwenye hiyo blog? Wengi humu ni waandishi wanapost humu JF na ktk website au blogs zao, na wengine wanarusha fb na ktk magazeti wanayofanyia kazi.Halafu hao Udaku tz ni wezi sana wa nyuzi za humu JF .
Mfano hata hiyo komenti ameiiba humu JF kutoka kwa member ndumi la kuwilii
View attachment 561184