Hii mpya ina range kuanzia 45,000 - 59,000 mpaka unaiuza kwa bei hii utakuwa umeichakaza sana mkuu na imeisha nguvu, ndio maana nataka kujua inajaza simu kwa 100% walau kwa mara ngapi?