D
Mbali ya kupungua ubora, matangazo ya biashara yamekua mengi kupita kiasi.Kadiri siku zinavyosonga mbele, PB ya Mawinguni inaonekana kupoteza sehemu ya mvuto na ubora uliowahi kujengwa na majina makubwa kama Masoud, Fetty na Siza. Ingawa bado ina mashabiki wake, wapo wanaoamini kuwa ladha ya zamani imepungua. Hata hivyo, katika ulimwengu wa burudani na michezo, muda huwa hakimu bora. Macho na masikio yetu yanaendelea kufuatilia kuona kama itarejea katika kiwango chake cha zamani au la.
Ukishafika juu kifuatacho ni kudondoka
Jisemee wewe tu na familia yako. Wengine mbona wanaikubaliKadiri siku zinavyosonga mbele, PB ya Mawinguni inaonekana kupoteza sehemu ya mvuto na ubora uliowahi kujengwa na majina makubwa kama Masoud, Fetty na Siza. Ingawa bado ina mashabiki wake, wapo wanaoamini kuwa ladha ya zamani imepungua. Hata hivyo, katika ulimwengu wa burudani na michezo, muda huwa hakimu bora. Macho na masikio yetu yanaendelea kufuatilia kuona kama itarejea katika kiwango chake cha zamani au la.
Hiyo cha mtoto.. kuna PB ya Hando, Kipanya na Fina MangoPB ilikuwa ya Hando Babra na PJ 🔥
Sasa hv kuna mkubwa sasali 😄Hiyo cha mtoto.. kuna PB ya Hando, Kipanya na Fina Mango